Science

IDARA: Sayansi

Mkuu wa Idara:    Mr.  Khadijah Khamis

Uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu , idadi ya vipindi kwa juma na idadi ya wanafunzi

SN

Somo

Mwalimu 1

Idadi wanafunzi

Vipindi

1

Biology

1

180

18

2

Chemistry

1

180

18

Kutakuwa na Idara ya Sayansi  ambayo itakuwa na masomo ya Biology na Chemistry. Idara itakuwa chini ya Mkuu wa Idara ambaye atafanya kazi zifuatazo:

  1. Kusimamia walimu kutekeleza majukumu yao kama yalivyoainishwa kwenye orodha ya Majukumu ya Mwalimu wa Somo ikiwa ni pamoja na kuliuza somo lake.
  2. Kusimamia umalizaji wa mihutasari kwa muda uliopangwa kishule.
  3. Kuhakikisha watoto wenye uelewa wa chini wanasaidiwa na ikibidi kushirikisha Mwalimu Mwandamizi wa Taaluma pamoja na wazazi wa watoto hao na kuweka kukumbuku za juhudi hizo.
  4. Kuhakikisha kwamba waalimu katika idara yake wanakamilisha majukumu mengine kwa wakati kama yalivyopangwa na kukubalika katika vikao vya taaluma au maelekezo toka juu.
  5. Kuweka mpango (Action Plan) wa idara na kuhakikisha kwamba unatekelezwa.
  6. Kutoa taarifa muhimu kwa wakati ili hatua muafaka ziweze kuchukuliwa kwa lengo la kukuza ufanisi na tija.
  7. Kuhakikisha kwamba asilimia hadi 80 ya wanafunzi wanachagua kusoma sayansi wanapoingia kidato cha 3.