Islamic

JIna la Idara :  DINI NA MALEZI

Mkuu wa Idara: Mwalimu Saleh

Wajumbe:  Matroni, Patroni ,  walimu wa masomo ya Kiarabu na Maarifa ya Uislamu

Kutakuwa na Idara ya Malezi ambayo itakuwa ikiratibu shughuli zote za malezi shuleni pia itajumuisha somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu. Idara itakuwa chini ya mkuu wa Idara ambaye atafanya kazi zifuatazo:

  1. Kusimamia wajumbe kutekeleza majukumu yao kama yalivyoainishwa kwenye orodha ya Majukumu ya walezi ikiwa ni pamoja na kujenga utambuzi wa nafasi ya malezi katika kufikia malengo ya shule.
  2. Kukusanya na kuweka taarifa muhimu za watoto wote katika faili za malezi ili kurahisisha uratibu na tathmini ya malezi pamoja na mawasiliano ya wazazi au walezi pale inapohitajika.
  3. Kuhakikisha kwamba somo Elimu ya Dini ya Kiislamu linasomeshwa kwa mujibu wa malengo yaliyowekwa kishule.
  4. Kuhakikisha kwamba wajumbe katika idara yake wanakamilisha majukumu mengine kwa wakati kama yalivyopangwa na kukubalika katika vikao au maelekezo toka juu.
  5. Kuweka mpango (Action Plan) wa idara na kuhakikisha kwamba unatekelezwa.
  6. Kutoa taarifa muhimu kwa wakati ili hatua muafaka ziweze kuchukuliwa kwa lengo la kukuza ufanisi na tija.
  7. Kusimamia usomeshaji wa na kuhifadhisha wa Qur’an kufikia malengo yaliyowekwa ya kuhifadhi japo juzuu 4 mwanafunzi afikapo kidato cha 4.

Variation A

Module Class Suffix: sp-title1

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore dolore

Variation B

Module Class Suffix: sp-box1

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore dolore

[icon name='camera'] Variation C

Add shortcode within title to display icons

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labor

Variation A

Module Class Suffix: sp-title2

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore dolore

Variation B

Module Class Suffix: sp-title2 sp-box2

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labor

Variation C [icon name='camera']

Add shortcode within title to display icons

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labor

Variation A

Variation B

Module Class Suffix: sp-box3

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor

[icon name='camera'] Variation C

Module Class Suffix: sp-box2  sp-title2

Lorem ipsum dolor sit, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labor